Nahum 1:12

12 aHili ndilo asemalo Bwana:

“Ingawa wana muungano nao ni wengi sana,
watakatiliwa mbali na kuangamia.
Ingawa nimekutesa wewe, ee Yuda,
sitakutesa tena.
Copyright information for SwhNEN